“Our Congregation dedicates itself to the needs of the local and universal Church and devotes itself the Parrochial ministry and other works of the Apostolate which are assumed according to the Provincial, Vicariate and the norms of the Mission.” (NT S11)
OUR MISSION HOUSES
Below are our houses, click on the name to view
Parokia ya Old Maswa ni kati ya parokia Kongwe katika Jimbo la shinyanya. Parokia Hii ilianzishwa mwaka wa 1962 pale wamisionari wa shirika la Mary Knoll walipofika na kuinzisha ikiongozwa na Padre Charles Callaham. Parokia hii tangia mwaka 2019 inahudumiwa na wamisionari wa Shirika la Damu Takatifu ya Yesu Ambapo wanaendeleza huduma za kiroho hasa kufundisha katekesi katika shule za sekondari, huduma vigangoni na pia huduma za kijamii ni kama huduma ya afya katika dispensary ya old Maswa inayomilikiwa na Jimbo la Shinyanga. Hii ni parokia iliyo na wakristo zaidi ya 3000. Paroko wa sasa Pd. Paul Kitaly alianza na Pd. Benedict Magabe, na sasa Pd. Genes Mahedi amehamia hapo toka mwanzoni mwa 2020.