“Our Congregation dedicates itself to the needs of the local and universal Church and devotes itself the Parrochial ministry and other works of the Apostolate which are assumed according to the Provincial, Vicariate and the norms of the Mission.” (NT S11)
OUR MISSION HOUSES
Below are our houses, click on the name to view
St. Andrew Parish (Bahari Beach): For a couple of years it was a sub-station of Mtongani parish. It grew out of the small Christian community of St. Andrew. By the efforts of Fr. Domenico Altieri while at Mtongani it grew and became a sub-station on 13/8/2000. Since then the efforts of the Christians of Bahari Beach, under the direction of different Precious Blood missionaries, this sub-station has grown to the level of a parish 2012. This recent C.PP.S parish began with the pastoral care of Fr. Angelo Kaizirege (its first Parish Priest), Fr. Richard Orota, and Br. Pascas Mjengi. Now Fr. Marco Loth is the Parish Priest, with Fr. Thomas Temba as associate. Other Missionaries who have served in this Parish include Fr. Thomas Wambura and Fr. Denis Pantaleo Gerald.
Parokia ya Mt. Andrea Mtume Bahari beach, ni zao la Kigango cha Parokia ya Mt. Nicholous Kunduchi Mtongani, ambacho kilitokana na iliyokuwa Jumuiya ya Mt. Dominiko ya Parokia ya Kunduchi wakati huo. Kigango kilizinduliwa rasmi tarehe 15.08.2000 (Sikukuu ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria na mwaka wa Jubilei ya miaka 2000). Hii ilitokana na Paroko wa wakati huo Padre Dominico Cpps., kukubali jengo lililokuwa la vijana na shule ya chekechea, kufanyiwa marekebisho muhimu na kuanza kutumika kama Kigango. Tangu wakati huo Kigango kiliendelea kukua na kufikia kutanganzwa kuwa Parokia. Mwaka 2011 kutangazwa kuwa Parokia teule chini ya Padre Vedasto Mwema Ngowi Cpps. Tarehe 26.08.2012, kutangazwa Parokia. Tarehe 27.10.2012, Parokia kuzinduliwa rasmi.
UONGOZI HIERAKIA: Paroko wa kwanza alikuwa Padre Angello Kaizirege Cpps. (2012-2016), Paroko wa pili, Padre Leonidas Ntampera Cpps (2016-2019).Paroko wa tatu Padre Marco Loth Cpps (2019-mpaka sasa).