0
%H
%M
%S
09-11-2022

Ziara ya Utume wa Damu 2022

Wana Utume wa Damu Azizi toka Jimbo Kuu la Dar es salaam watatembelea nyumba yetu ya Malezi wakiwa katika majiundo yao endelevu katika Shirika na kufanya matendo ya huruma kwenye vituo vyetu Dodoma na Chibumagwa.