0
|
%H
%M
%S
|
Pd. Gregory Mkhoty ambaye ni Paroko wa Parokia ya Mwili na Damu ya Yesu Kola Morogoro ataadhimisha Misa ya shukrani kijijini kwao Igauri Itamka Singida. Karibuni wote tukamshukuru Mungu pamoja naye kwa makuu aliyomtendea katika utume kwa miaka 25.